Hapa unaweza sema amtumainie Mungu hataaibika. Dada huyu Uwezo Magendenge (22) aliyejishindia shilingi Milioni 100. Nadhani atazitumia vizuri kuboresha maisha yake na wazazi wake/Familia yake. Hongera sana Uwezo. Asanteni pia Vodacom kwa kusaidia kubadilisha maisha ya watu
Baba Mzazi wa Uwezo akizungumza jambo na mwakilishi wa Vodacom
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
33 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako