Baada ya uvumbuzi huu wa kuburudika Coca na.... basi kila mtu anahangaika jina lake lionekane katika makopo ya Coca. Ila jiulize umefanya nini kustahili hayo. Mwenzio aliyetengeneza Coca alikaa chini akawaza afanye nini kutengeneza kinywaji kinachopendwa dunia nzima. Ni muda wa kuamka na kufanya mambo sio kutaka vya bwerere.
"Mbona jina langu silioni?"
Bora hata huyu
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
27 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako