Ikiwa ni jumatatu kumekucha kila mwanafunzi akiwahi shule , wafanyakazi makazini na wakulima mashambani, hali ya shule zetu bado ni tata
Ila tujitahidi tu kusoma maana tusije tukavaa nguo kama hizi bila kujua maana ya maandishi yake
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
27 minutes ago



No comments:
Post a Comment
Maoni yako