Monday 16 February 2015

VIJIMAMBO VYA MAISHA YA KILA SIKU


'SINA HABARI', Dereva wa Bodaboda akipakia abiria katika njia panda ya taa za kuongozea magari sehemu fulani jijini Dar es Salaam, tena mbele ya askari wa usalama Barabarani, ambaye anaonekana kuwa bize na mazungumzo katika simu yake ya mkononi.
Pikipiki hiyo ina ujumbe usemao 'SINA HABARI' na kitendo hiki cha kufanya hivi mbele ya askari je ni kweli hana habari au hana elimu ya usalama barabarani? na Je ni nani kati ya Dereva na Askari ambaye anaonekana kutokuwa na habari zaidi ya mwenzake?...

1 comment:

  1. Duh hapa ...swali nzuri sana sijui ni nani hapo hana habari...Ila kwa mtazamo wangu wa haraka hara naona ni wote.

    ReplyDelete

Maoni yako