Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk. Charles Msonde, ameongea na waandishi wa habari jana na kusema kiwango cha ufaulu mwaka huu kimepanda kwa asilimia 12.67. Shule binafsi zimeendelea kuongoza, huku mwanafunzi wa kwanza ni msichana kutoka shule ya Sekondari Baobab, Nyakaho I. Marungu.
Kuona matokeo www.issamichuzi.blogspot.com
Chukua Mkwanja Wako Mapema Leo
20 hours ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako