Monday 2 February 2015

JOTI NA PETE YA UCHUMBA

Hatimaye mchekeshaji wa Kundi la Orijino Komedi,Lukas Mhuville alimaarufi kama Joti, hivi karibuni amevunja ukimya kuelekea kwenye ndoa kwa kumvisha pete ya Uchumba mpenzi wake wa muda mrefu. Tukio hili lilihudhuriwa na watu wachache sana akiwemo Mchekeshaji mwenzie Mjuni aka Mpoki. Blog inamtakia kila la heri Joti katika safari yake hiyo.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako