Sunday 8 February 2015

HUU NDIO UWAJIBIKAJI WETU

Wakati mwingine inakuwa kama dharau kazini au kufanya kazi kwa mazoea tu. Staili hii ya hawa watumishi sio sahihi katika hasa wanapokuwa eneo la kazi. Linapotokea la kutokea unakuta hata hawajiandaa na kukurupuka tu. Tuwe makini katika majukumu yetu.
Usijesema unachukulia maneno ya Biblia kuwa "Bwana asipoulinda mji, walinzi wanakesha bure..."

No comments:

Post a Comment

Maoni yako