Tuesday 17 February 2015

CHIFU MPYA WA WAHEHE

Mwanafunzi wa Darasa la Saba, Adam Abdul Sapi (13) ametawazwa kuwa Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, aliyefariki na kuzikwa mkoani Iringa.
Mhe Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazishi ya aliyekuwa Chifu wa Wahehe Abdul Sapi Mkwawa, akiwa katika dua na Chifu Mpya wa Wahehe.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako