Thursday 12 February 2015

TASWIRA: MCHORO WA CHUO CHA TIBA MLOGANZILA

Serikali inaendelea na ujenzi wa Chuo cha kisasa cha Tiba Muhimbili eneo la Mlogazila nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Ujenzi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Machi mwakani. Kitakapokamilika, Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 15,00 kwa Mwaka. Chuo hicho kinajengwa kwa gharama ya Dola za Mimarekani Milioni 61, zikiwa ni ushirikiano katika ya Tanzania na Marekani

No comments:

Post a Comment

Maoni yako