Monday 16 February 2015

KUMEKUCHA TUKAWAJIBIKE WADAU

Jumatatu mwanzo wa wiki. Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki yalosindikzwa na siku ya Wapendanao, sasa ni muda tena wa kuwajibika. Nawatakia nyote mafanikio katika majukumu yenu maofisini,mashambani,mashuleni na popote unapowajibika kihalali.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako