Sunday 1 February 2015

AJALI YAUA IRINGA

Pamoja na ajali za barabarani kuendelea kupoteza maisha ya watu, lakini pia kuna tabia inayoletwa na matumizi mabaya ya utandawazi. Ukiitazama picha hiyo ambapo pikipiki iligoganga na Lori Fuso na pikipiki hiyo kushika moto,watu watatu walifariki. Tatizo sasa mtazame huyu aliyeshika simu yake ya kamera akipiga picha. imekuwa tabia siku hizi hasa yanapotokea maafa watu wanakimbilia kupiga picha badala ya hata kusaidia kuokoa majeruhi. Si jambo zuri. Utu unapungua kisa matumizi mabaya ya Teknolojia

No comments:

Post a Comment

Maoni yako