Friday 13 February 2015

MWANAUME = KAZI

Inatia moyo kuona wanaume wengi wanavyojitahidi kufanya kazi ili kujikwamua kimaisha. Haijalishi unafanya kazi gani ilimradi ni kazi halali,fanya usiogope macho ya watu maana macho yao hayawezi kukupa chakula malazi au makazi bora. Kupambana na maisha katika hali yoyote ndio uanaume halisi.

Mahakanma ya Ndizi
Simtank hili likiwa na maji huwezi hata kulisogeza ili mwanaume kalinyanyua kama karatasi
kazi nyingine nazo zahitaji ubunifu.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako