Monday 9 February 2015

IVORY COAST MABINGWA CAF 2015

Kombe la Mataifa ya Afrika 2015
Timu ya Taifa ya Ivory Coast imeshinda kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuitoa hana kwa mikwaju 9 kwa 8 ambapo timu zote zilipiga mikwaju 11 kila mmoja. Mkwaju wa ushindi ulitiwa golini na mlinda mlango wa Ivory Coast. Ilikuwa ni mechi ya kusisimua baada ya dakika 90 kumalizika bila bila, kisha dakika za nyongeza 30 bila bila kisha mikwaju ambapo wachezaji wote waliokuwa uwanjani wamepiga penati
Mlinda mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry akipiga mkwaju wa penati uliopelekea ushindi kwa Timu hiyo huko Equatorial Guinea

No comments:

Post a Comment

Maoni yako