Wednesday 16 March 2016

WEMA SEPETU ALIVYOBADILIKA KATIKA MIAKA 10

Wema Sepetu wa mwaka 2006 alipokuwa Miss Tanzania
Wema Sepetu alivyo sasa. Hapa ni alipokuwa na wasanii wenzake walipomtembelea Makamu wa Rais, mhe Samia Suluhu. Je una ushauri wowote kwake?

No comments:

Post a Comment

Maoni yako