Wednesday 16 March 2016

UDAKU: DALADALA YACHOMEKEA GARI LA MKUU WA MKOA DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe.Paul Makonda akishuka kwenye gari lake wakati alipoingia Ofisini kwake kama Mkuu wa Mkoa leo
Katika mizunguko ya kikazi ya hapa na pale Mkuu wa Mkoa akajikuta gari lake likichomekewa na Daladala na kushuka ili kumalizana nae. Hapana chezea Bongo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako