Wednesday 16 March 2016

"HOME SWEET HOME": BALOZI JUMA MWAPACHU ARUDI CCM

Baada ya kuihama CCM mwaka jana kabla ya uchaguzi kujiunga na upinzani, leo hii Balozi Juma Mwapachu amerejea tena CCM na kukabidhiwa Kadi na mwenyekiti wa CCM Kata ya Mikocheni.

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Juma Mwapachu (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe baada ya kutangaza nia yake ya kuihama CCM kuhamia Upinzani

No comments:

Post a Comment

Maoni yako