Thursday 10 March 2016

MHE RAIS MAGUFULI ATEMBELEA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongeza na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016

No comments:

Post a Comment

Maoni yako