Ukisalimiana na mkuu wa nchi lazima ucheki pembeni kidogo, maana anaweza kuona kachunusi akadhani jipu. Kauliza nguo bei gani, nikasema tumegaiwa kanisani. Maana angeweza kusema hela umetoa wapi na risiti ya mashine ya TRA ya manunuzi iko wapi.ππΏππΏ
MAMBA WATISHIA USALAMA WA WANANCHI WA KATA YA RUVU.
58 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako