Wednesday 2 March 2016

SUDAN KUSINI YAKUBALIWA KUJIUNGA NA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Wakuu wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wameikubalia Sudan Kusini kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo ya kikanda. Mkutano wa kilele wa Jumuiya hiyo jijini Arusha leo Jumatano (Machi 2) umepitisha pendekezo la baraza la mawaziri juu ya uwanachama wa Sudan Kusini na pia hali ya usalama nchini Burundi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako