Sunday 6 March 2016

MHE RAIS MAGUFULI AMTEUA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako