Saturday 12 March 2016

KARATASI ZA UCHAGUZI ZANZIBAR 2016 ZAWASILI

Karatasi za kupigia kura kwa ajili ya marudio ya uchaguzi wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika Machi 20, ziliwasili jana mchana visiwani hapa.

Karatasi hizo zilipokewa na watendaji mbalimbali wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), wakiongozwa na mkurugenzi wake, Salim Kassim katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume

No comments:

Post a Comment

Maoni yako