Dr. Vicent Machinji ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupitishwa na Baraza Kuu la Chadema, katika kikao chake kilichokaa jijini Mwanza. Katika Kikao hicho cha Baraza Kuu kilichodumu hadi saa nne usiku, Freeman Mbowe alitangaza jina la Dk. Machinji na kuungwa mkono na wajumbe wa baraza hilo, hivyo anajaza nafasi iliyoachwa na Dk. Willibrod Slaa
Sunday 13 March 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako