Baada ya Kupata watoto mapacha wa kiume na kuwa katika mahusiano kwa muda, Mhe Reginald Mengi ameamua kuweka vitu hadharani kwa kufunga ndoa na mwandani wake Bi.Jacqueline, ndoa inayosemekana kufungwa huko Mauritius. Jionee picha hapa kwa hisani ya Bongo5
WALIMU SHINYANGA WAGUSWA NA KLINIKI YA SAMIA
2 hours ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako