Sunday 12 April 2015

MHE.FREEMAN MBOWE,MBUNGE ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA KILIMANJARO

Mbunge wa Hai,Mhe.Freeman Mbowe ametoa msaada wa magari mawili ya kubebea wagonjwa (AMBULANCE) kwa Hospitali za Hai na Machame katika Jimbo lake la Uchaguzi
Taswira ya magari hayo ndani na nje
Mhe. Mbowe akiongea machache kwa wananchi wa Hai kuhusu msaada huo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako