Sunday 12 April 2015

WACHEZAJI MAVETERANI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS IKULU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako