Tayari imepita miaka 3 tangu nguli huyu wa Movie nchini atutoke ghafla. Hakika tumepoteza mtu muhimu ambaye alikuwa anang'arisha tasnia ya Filamu nchini,kuibua na kukuza vipaji vya wengi. Mungu akulaze palipo pema Kanumba.
Mama Kanumba akiweka shada la maua katika kaburi la mwanae Steven Kanumba huko Kinondoni Makaburini leo alipolizuru na kumwombea mwanae katika hii kumbukumbu ya kifo chake.
Tuesday 7 April 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako