Leo hii imetokea ajali mbaya huko Ruaha Mbuyuni baada ya basi la Nganga linalofanya safari zake kati ya Kilombero na Iringa kugongana uso kwa uso na Fuso na magari yote kutekete kwa moto.
ILA napotazama ajali hizi nakumbuka kichekesho hiki alichowahi toa Masanja Mkandamizaji;nanukuu
"Dereva wa bodaboda kapakia abiria, yeye na abiria hawana helmet lakini analalamika kwamba madereva wa mabasi hawafuati sheria. Wewe na tubodaboda tu umeanza kuvunja sheria, tukikupa fuso si utalitumbukiza Wami?! Anza wewe kufuata sheria."
Sunday 12 April 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako