Friday 3 April 2015

ANATAFUTWA: KUFUATIA MAUAJI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU HUKO GARISSA KENYA

Ripoti za hivi punde zasema kuwa zaidi ya watu 147 wameuawa katika shambulio hili. Hii ni zaidi ya unyama jamani. Binadamu wanakosa kuona thamani ya uhai wa binadamu mwenzao tena hasa hawa wanafunzi ambao wanasoma kutengeneza maisha yao ya baadae.
((Tahadhari picha hii hapa chini ya mauaji inatisha))

No comments:

Post a Comment

Maoni yako