Tuesday 14 April 2015

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AWATEMBELEA WANANCHI KAWE KUTATUA MATATIZO YAO YA ARDHI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wananchi wa Kawe Mzimuni alipofika kutatua mgogoro wa ardhi.
Wananchi wa Kawe Mzimuni wakiwa kwenye ukuta walioubomoa kutokana na kujengwa eneo la barabara.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako