Wednesday 1 April 2015

KIKAO CHA BUNGE DODOMA CHAHAIRISHWA

Kikao cha Bunge kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka Waziri Mkuu atoe taarifa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya April 30,2015.

Kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi Spika Anna Makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako