Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania wakiongoza maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru.
Wafantakazi Bora kutoka idara na taasisi mbalimbali wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
RC GEITA AOMBWA KUINGILIA KATI MGOGORO WA MIRATHI
14 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako