Wednesday 7 May 2014

BAADHI YA KERO WAZIPATAZO WANANCHI

Hizi taka zipo pembezoni mwa barabara kuu ambapo pia kwa mbali pale wanaonekana wachuuzi wa biashara ya chakula maarufu kama "Mama Ntilie". Ila hii sio salama kwa afya. Mamlaka husika ni vema kutupia macho jambo hilo.
Kutokana na mvua zinazoendela kunyesha nchini, barabara ya Dar es Salaam / Mtwara imekuwa kero sana. Ni kilio cha wananchi kuweza kujengewe barabara hii yote kwa kiwango cha lami kuepusha usumbufu kama huu.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako