Friday 9 May 2014

JE WAMJUA MFANYABIASHARA MAARUFU NIGERIA??

Si mwingine bali ni Mhe. Alhaj Aliko Dangote
Hapa Rais wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyabiashara huyo maarufu ambaye kwa sasa anajenga Kiwanda kikubwa cha Saruji huko Mtwara. Waafrika tunaweza!

No comments:

Post a Comment

Maoni yako