Unapompa mtu lift kwenye gari lako ni kitendo cha huruma na kawaida ukarimu wa kitanzania, lakini uwe makini kuangali kama abiria wako uliyempa lift amefunga mkanda vizuri, wengine hawajui na hivyo unapomwambia "Funga mkanda" unaeza shangaa mtu amejinyonga ukapata "murder case bure"
NMB NA DAWA MKONONI WAUNGANA KUBORESHA SEKTA YA DAWA
46 minutes ago

Duh kaaaaazi kwelikweli!!
ReplyDeleteNakwambia, si mchezo dada Yasinta
ReplyDelete