BABA: Mwanangu mbona leo umewahi kuamka kwenda shule kulikoni?...
MTOTO: Namuwahi mwalimu wa bagia!
BABA: Mjinga sana wewe badala yakuwahi elimu wewe unawahi bagia!!
MTOTO: Baba unajua kiukweli kabìsa elimu haina mwisho ila bagia mwisho saa nne.
KARMA YA UONGOZI: SOMO KWA WANAOHAMASISHA MAANDAMANO
12 hours ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako