Kuwakuta watoto katika hali kama hizi hasa maeneo ya vijiji asilia ni jambo la kawaida na kama ulitokea sehemu kama hizo na hukupitia hatua hizi basi kuna kitu ulimiss.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
16 hours ago
"Home Sweet Home"
Umenikumbusha mbali kaka....
ReplyDeleteYaani we acha tu. Ulikuwa ugomvi usoisha na mama hasa inapofika muda wa kuoga
Deletehahaaaaa kazi kwelikweli!
ReplyDelete