Wednesday 6 July 2016

SIKUKUU YA EID YASHEREHEKEWA VIZURI MAENEO MBALIMBALI NCHINI

Waumini wakiwa katika Swala ya Eid el Fitr maeneo ya Mwembe Yanga - Dar
Mhe.January Makamba na waumini wengine katika Swala ya Eid Jijini Tanga
Mhe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ahutubia Baraza la Eid

Mhe- Rais Magufuli ahutubia katika ikukuu ya Eid El Fitr

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein baada ya kulihutubia Taifa kwenye Baraza la Eid El Fitry lililofanyika leo Julai 06,2016 katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako