Thursday 7 July 2016

PORTUGAL WATINGA FAINALI UEFA EURO 2016

Baada ya bao la Ronaldo dakika ya 50 na lile la NANI dakika ya 53, hatimae Timu ya Taifa ya Portugal imetinga fainali baada ya kuipiga Wales bao 2-0. Sasa Portugal inasubiri mshindi wa leo kati ya Germany na France ili kucheza nae Fainali.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako