Tuesday 12 July 2016

ASEMAVYO MHE HUMPHREY POLE POLE MKUU WA WILAYA YA UBUNGO BAADA YA KUAPISHWA

Hodi Ubungo, Hodi Ubungo, Hodi Ubungo
Mhe. Rais amenituma kuja kuwa Mtumishi na Kiongozi kwenu. Tuna kila sababu ya kuifanya Ubungo Wilaya ya Tofauti katika kila eneo na sekta, inawezekana. Hakika Ubungo Itakuwa Tofauti. Tushirikiane na Mungu atatubariki! Amina!
Wengine Mtashangaa, Nchi yetu, Taifa letu, Serikali yetu, Utumishi na Uongozi ambao tumepewa dhamana ni zaidi sana ya Matakwa binafsi. Serikali Ni Utamaduni, Ni Desturi, Ni Kanuni, Ni zaidi sana ya Matakwa yangu binafsi
Hodi Ubungo

1 comment:

  1. Karubu sana UBUNGO, Tupo na tunakuhahidi ushirikiano asilimia 100%, Karibu Humphrey Polepole!

    ReplyDelete

Maoni yako