Friday 8 July 2016

FRANCE YAITOA GERMANY UEFA EURO 2016

Timu ya Taifa ya Ujerumani imetolewa katika mashindano ya UEFA EURO 2016 kwa kuchapwa magoli 2 kwa bila na timu ya Taifa ya Ufaransa. Sasa Ufaransa itacheza na Ureno katika fainali siku ya Jumapili

No comments:

Post a Comment

Maoni yako