UNADHIFU KAZINI: Kondakta wa Daladala ( Mwenge-Posta) ambaye hatukufanikiwa kupata jina lake mara moja akiwa amevaa 'smart' jambo ambalo ni nadra sana kuonekana kwa makondakta wengi wa Daladala. Picha na Saumu Mwalimu
MATUMIZI SAHIHI YA TEHEMA KUWAKOMBOA WATANZANIA KIUCHUMI
41 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako