Sunday 10 April 2016

DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI APRIL 16

Muonekano wa Daraja la Kigamboni mara baada ya ujenzi wake kukamilika.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akipata maelekezo kwa Mkurugenzi Msaidizi Barabara za Mijini Eng. Hussein Mativila (kushoto) alipokagua Daraja la Kigamboni.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako