Wednesday 9 March 2016

ZIARA YA RAIS WA VIETNAM MHE. TRUNG TAN SANG NCHINI

Mhe Rais Magufuli akimkaribisha Mhe.Trung Tan Sang, Rais wa Vietnam mara baada ya kuwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar
Mhe Rais wa Vietnam akikagua Gwaride la Heshima
Rais wa VietinamTrung Tan Sang (kuliakwa Waziri Mkuu) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja badhi ya viongozi na wafanyabiashara wa Tanzania na Vietinam baada ya mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Maoni yako