Thursday 17 March 2016

SHINDANO LA MISS TANZANIA LARUDISHWA TENA

Miss Tanzania 1967 Teresa Shayo ( wa kwanza kushoto) akipozi na wenzake wa nchi za Afrika wakiwa London katika kinyang'anyiro cha Miss World
Kwa wale wapenzi wa Shindano la kumsaka mrembo Miss Tanzania ni kwamba shindani hilo limerudishwa rasmi na linatarajiwa kuzinduliwa Jumamosi March 19 2016 Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Maoni yako