Thursday, 10 March 2016

USIKATE TAMAA

Anaitwa Mussa ni mmoja kati ya vijana walioamua kujiajiri kwa kazi ya kuokota makopo na kuyauza. Amemaliza shahada ya biashara lakini amekaa nyumbani bila ajira kwa miaka 3 na hana mtaji ndipo akaamua kufanya kazi hii .

Kama umefurahishwa na uamuzi wake wa kujishusha bila kujali elimu yake, tupia neno lolote la kumpa hongera

No comments:

Post a Comment

Maoni yako