Monday, 14 March 2016

RC MPYA WA DAR ES SALAAM MHE.PAUL MAKONDA AZINDUA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA UNAOFADHILIWA NA GSM FOUNDATION

Kwa kubariki mchango wa Mhe.Makonda kama Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, GSM Foundation iliamua kufadhili ujenzi wa Jengo la kitengo cha upasuaji kwa kina mama wajawazito na wagonjwa wa dharura katika hospitali ya Rufaa Mwananyamala. Na ikawa kama bahati Mhe Rais Magufuli akamteua DC Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kujikuta akitaka utepe huo akiwa RC mteule.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako