Wednesday, 16 March 2016

YANAYOJIRI MASHULENI; KUNA NINI?

Mwalimu akiwa na lundo la Madaftari ya wanafunzi kwa ajili ya kusahihisha. Ni changamoto maana kuona tu yalivyo mengi. walimu wana changamoto nyingi sana. Panapowezekana wadau na wote wanaohusika wawasaidie walimu kupunguza makali ya majukumu yao.
Mwanafunzi huyu ana nia njema ya kufaulu masomo yake. Kinachohitajika ni kuwasikiliza waalimu, kuwa makini darasani na kujifunza kwa bidii na sio kuwaza msaada wa vitu kama hivyo vionekanavyo pichani ambapo ni ishara za ushirikina.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako