Friday 10 July 2015

MHE RAIS KIKWETE AWAAGA RASMI WABUNGE NA KULIVUNJA BUNGE HAPO JANA JIJINI DODOMA

Mheshimiwa rais Kikwete hapo jana alihutubia Bungeni Dodoma ambapo aliwaaga rasmi kama Rais wa nchi na pia kulivunja rasmi Bunge mpaka hapo Uchaguzi mkuu utakapoisha Oktoba 2015.
Mhe.Rais Kikwete na Spika wa Bunge Mhe.Anne Makinda wakiingia katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na wajumbe wake pamoja na Maofisa wa Bunge walipokuwa wakiingia bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako