Sunday 12 July 2015

MAGUFULI HOYEEEE

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma, Dk. Magufuli amechaguliwa kwa kura 1560 akifuatiwa na Asha-Rose Migiro aliyepata kura 702 huku Balozi Amina Salum Ali akipata kura 349
Mhe. Magufuli akimtambulisha Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan

No comments:

Post a Comment

Maoni yako