Wednesday 8 July 2015

DIAMOND PLATNUMZ APAGAWISHA SINGIDA

Mbunge wa Singida Mhe.MO Dewji amefanya Mkutano mkubwa na wanajimbo wake katika kuwaelezea mafanikio na utekelezaji wa Ilani ya Chama katika kipindi cha Uongozi wake. Pia alimualika msanii Diamond Platnumz kutumbuiza na ndo mambo yalikuwa km picha inavyojieleza.
Hata hivyo habari zinasema kuwa Mbunge huyo ametumia muda huo pia kuwaaga wananchi alokuwa anawawakilisha kwani yawezekana asigombee tena ili kupata muda mrefu wa kuwa na familia yake na pia kusimamia biashara zake vizuri, amesema Mbunge huyo.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako